Talk:Bombo Hospital

Page contents not supported in other languages.
From Wikipedia, the free encyclopedia

kwa mujibu wa kanuni za afya tusipokuwa makini tutaharibiana kazi mimi kama kaka wa mgonjwa nasubiria masaa kadhaa niliyo kubaliana na wapelelezi na wataalamu wa usalama katika kitengo cha damu salama hospitalini Bombo kuna hujma imefanyika. malalamiko haya tumeyapata ofisini kwa mwana sheria mkuu alipohojiwa kuhusiana na sheria hizo. tusiharibiane kazi tuwe makini kazini maana haielelweki mgonjwa anatakiwa aekewe chupa 3 na ndugu kwa mujibu wa taarifa zao walitakiwa kutoa chupa 6 na mgonjwa mpaka sasa ameekewa chupa 1. je nisheria gani inayomruhusu dr kufanya hivyo je kwa mujibu wa TAKUKURU hii sio rushwa? Tunasubiri majibu ya TAKUKURU kwanza ndio mh aanze kazi. BY BAKARI SALIMU 0656 046023.Dar es salaam.

External links modified[edit]

Hello fellow Wikipedians,

I have just modified one external link on Bombo Hospital. Please take a moment to review my edit. If you have any questions, or need the bot to ignore the links, or the page altogether, please visit this simple FaQ for additional information. I made the following changes:

When you have finished reviewing my changes, please set the checked parameter below to true or failed to let others know (documentation at {{Sourcecheck}}).

This message was posted before February 2018. After February 2018, "External links modified" talk page sections are no longer generated or monitored by InternetArchiveBot. No special action is required regarding these talk page notices, other than regular verification using the archive tool instructions below. Editors have permission to delete these "External links modified" talk page sections if they want to de-clutter talk pages, but see the RfC before doing mass systematic removals. This message is updated dynamically through the template {{source check}} (last update: 18 January 2022).

  • If you have discovered URLs which were erroneously considered dead by the bot, you can report them with this tool.
  • If you found an error with any archives or the URLs themselves, you can fix them with this tool.

Cheers.—InternetArchiveBot (Report bug) 17:40, 5 November 2016 (UTC)[reply]