Talk:Mbinga District

Page contents not supported in other languages.
From Wikipedia, the free encyclopedia

HISTORIA YA WILAYA YA MBINGA[edit]

Napenda kutoa histora fupi ya wilaya ya mbinga,jina "mbinga"limetokana majina ya magogo ya miti ambayo yalikuwepo mbinga mjini hapo zamani,hayo magogo yanaitwa(mbelenga)kwa lugha ya kimatengo ambayo hutumiwa na wakazi wa uko mbinga.hivyo jina la wilaya hiyo limetokana na magogo ya miti ambayo huitwa mbelenga,wilaya ya mbinga inautajiri mkubwa sana,kutokana ardhi nzuri yenye rutuba,miongon mwa mazao ambayo hulimwa katika wilaya ya mbinga ni,kahawa,ngano,maharage,mahindi,mpunga ,mtama,chegere,mihogo,tumbaku,korosho na mengine mengi sitaweza kutaja yote,kwa ujumla ni wilaya ambayo ina kila kitu,wakazi wengi wa mbinga ni wakristo,na walio wengi ni wamatengo na wachache waamiaji kutoka mikoa ya jirani,najua unapenda kujua mengi kuhusu wilaya ya mbinga,unaweza kuwasiliana na mimi kupitia s.l.p 392 mbinga,au simu ya mkononi,0757785797,NI MIMI TEODOS SANGANA,a university student of DAR-ES SALAAM, — Preceding unsigned comment added by 197.250.192.34 (talk) 12:34, 16 November 2013 (UTC)[reply]