Jump to content

User:Adonia damas

From Wikipedia, the free encyclopedia

Adonia Damas Rugigidi, alizaliwa tarehe 7 mwezi wa 4 mwaka 1995 katika Kijiji cha Janda wilayani Buhigwe mkoani kigoma. Adonia ni mtoto wa tatu kwenye familia yao. Alianza elimu yake ya msingi mwaka 2004 shule ya msingi kumsenga iliyopo kijijini kwao Janda, kabla ya kuhamia shule ya msingi nyangamba mwaka 2005 akiwa darasa la pili iliyopo kijijini Janda pia. Kutoka nyumbani kwao hadi shuleni kumsenga ilikuwa mbali sana kiasi cha kutumia kama lisali zima ukitembea hivyo familia yake ikaamua kumhamishia shule ya msingi nyangamba iliyo kuwa ndo imeanzishwa mwaka huo wa 2005 na wao ndo wakawa wakwanza kusomea katika shule hiyo iliyo kuwa karibu Sana na nyumbani kwao, kiasi cha kuanza kutumia dakika 5 kufika shule akitoka nyumbani. Pamoja na changamoto za uhaba wa madawati, kusoma kwa kubanana, madarasa yasiyo sakafiwa lakini aliendelea kusoma shuleni hapo hadi alipo hitimu darasa la saba mwaka 2010. Mwaka 2010 huo huo baada ya kuhitimu elemu yake ya msingi, alichaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya sekondari Janda, iliyo kuwa shule ya kata kijijini kwao, ambayo ilikuwa na umbali wa dakika 50 kutoka kwao hadi shuleni hapo. Alisoma hapo hadi alipo hitimu mnamo mwaka 2014. Nakwenda morogoro alipo kuwa akiishi baba yake mzazi akifanyia shughuli zake za kimaisha pamoja na ndugu zake watatu, ambao ni Kaka yake mkubwa wakwanza Fedes Damas aliye faliki badae mwaka huo huo 2014 mwezi wa 12. Mwingine alikiwa Kaka yake wa pili Haroun Damas na mdogo wake Elimos Damas. Mwaka 2014 alitafta kazi akishirikiana na familia yake. Alipata kazi manispaa ya morogoro mjini ya kutoza ushuru magari yanayo paki sehemu isiyo ya kupaki, kazi aliyo ifanya siku moja ya majaribio na hakuipenda akaamua kuachana nayo kwasababu alizo ziona yeye. Mwishoni mwa mwaka alienda kiwanda cha sukari morogoro sehemu ya mdizini kwaajiri ya kufanya kazi ya kukata miwa na kulima lakini alilala siku moja na kesho yake akarudi morogoro mjini kwakuwa kipindi kile hakukuwa na kazi wala mshahara ilitakiwa kufanya kwa mkopo hivyo akaona kutakuwa na ugumu wa maisha kwakuwa ilikuwa kujitegemea chakula, japo makazi ilikuwa bure.

Badae baba yake aliamua kumpatia mtaji wa shilingi 220,000 aende dar es salaam alipo Kaka yake Gasper Hamis Rugigidi mtoto wa baba yake mkubwa baada ya kukosa cha kufanya morogoro akienda kufanya shughuli ya kukopesha Vyombo sehemu ya gongo la mboto. Baada ya matoke ya kidato cha nne yaliyo mkuta dar es salaam Adonia hakubahatika kuendelea na elimu ya juu yaani kidato cha tano na sita, kwasababu ufaulu wake haukuwa mzuri, yaani alifeli kwa maana nyingine. Na haya ndiyo yalikuwa matokeo yake. BASIC MATHEMATICS= E HISTORY= E GEOGRAPHY= D CHEMISTRY= D BIOLOGY= D KISWAHILI= C CIVICS= C ENGLISH= B Akawa na ufaulu wa GPA ya 1.4 pass. Aliamua kutoka dar es salaam mwezi wa nne mwaka 2015 na kurudi morogoro Kwanza Kisha akarudi nyumbani kwao kigoma kijijini Janda kwaajili ya kutafakari kama atarudia shule, atarudia mtihani au atafute chuo cha kusoma zoezi lililo chukua mda kidogo, badae akachagulia kwenda chuo cha MOM (MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO) kusoma science and laboratory technology ngazi ya cheti, lakini hakwenda kwa madai ya mzazi wake kuwa course hiyo itakuwa ngumu kupata ajira. Badae akiwa na rafiki zake wakaamua kwenda kusoma advance mkoani Tabora shule ya Uyuwi ambayo wenzake walienda lakini yeye hakwenda kwakuwa baba yake hakulidhia Baba yake akaanza kutafta chuo cha afya akasome lakini ikashindikana kutokana na ufaulu wake mbaya, waliuza mashamba kutoa hela kwenye baadhi ya vyuo vya afya lakini kote ikashindikana, badae mwaka 2016 akaenda mkoani Rukwa wilayani Sumbawnga kusomea ualimu wa shule za misingi, kwenye chuo kipya kabisa cha adventure teachers college kilicho kuwa jirani na chuo cha Rukwa teachers college. Hakukuwa na wasiwasi juu ya ufaulu wao kwakuwa waliambiawa chuo kikiwa kinaanza kinapewa ofa ya watu hata wasio na ufaulu sahihi, wakiwaambia wanachukua pass nne (D 4). Lakini katikati mwa mwaka huo aliamua kuhama chuo baada ya tetesi kuwa hakijasajiliwa na baraza la elimu na Chuo badae kilifungwa kabisa akiwa tayari ashaanza masomo katika chuo kingine, walimshitaki mkurugenzi wa chuo kile baada ya kuamliwa arudishe pesa kwawanafunzi wote na hakifanya hivo. Kesi ilichukua mda mrefu ikiwa inafatiliwa na wao wenyewe lakini badae ikiwa hatua ya mwisho mahakamani baadhi ya wanachuo walikuwa wakirudi makwao kwakuwa waliendelea kupoteza hela nyingi zaidi, hivyo ufatiliaji ukapungua na mkurugenzi haikujulikana hatima yake kama aliachiwa au alishikiliwa lakini hakuna chochote walicho kipata toka serikarini Kama ahadi kuwa watarudishiwa hela yao na kukusanya listi zao za malipo, ambazo adonia alikiwa ashalipia shilingi laki nne na elfu alobaini 440,000

Yeye  akuhamia chuo cha st aggrey teacher's college kilicho badilishwa badae na kuwa st aggrey college of education and business studies. Akabadilisha course na kuanza kusoma community development ( maendeleo ya jamaa) ngazi ya cheti. Alisoma hapo ngazi ya cheti na kuanza diploma hapo hapo, lakini badae chuo kikabadilishwa na kuwa shule ya awali Suala lililo leta mgogoro hadi mashitaka kufikishwa ofisi ya mkuu wa mkoa, na kuamliwa wawapele chuo kingine, ikiwa ni pamoja na madai ya vyeti vyao ambavyo bado hawakuwa navyo hadi mda huo.

hivyo wakaambiwa wahamishiwe kwenye tawi lao lililoko mbeya lakini yeye na wenzake baadhi wakahamia chuo kingine cha Paradise business college alipo hitimu Diploma ya maendeleo ya jamii.