Jump to content

User:Nashon Peter

From Wikipedia, the free encyclopedia

Amezaliwa march 20, 1992 katika familiya yenye watoto sita,na Nashon ni mtoto wa tatu katika familiya ya mzee Peter Nyaseba ,amepata elimu ya msingi katika shule iliyoko huko tarime mkoani Mara ambayao inaitwa Nkende primary school kuanzia mwaka 2000 mpaka mwaka 2006 ambapo alihitimu masomo yake ya primary na akafanikiwa kuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondali ya Mwema mwaka 2007 lakin kutokana na umbali alihamishiwa katika shule ya sekondari Nyandoto ambapo alisoma mpaka akahitimu elimu ya sekondari mwaka 2011,baada ya hapo mtokeo yake hayakuwa mazuri hakubahatika kujiunga na kidato cha tano ambapo ilimlazimu kukaa nyumbani 2011-2012 na kuamua kurudi tenda shule kujiendeleza ambapo alilisit mtihani wa kidato cha nne ktk shule ya secondary ya Alpha germs iliopo mkoani Morogoro na kufanikiwa kufaulu na kujiunga na kidato cha tano na cha sita mnano mwaka 2014-2016 katika shule ya jimbo katoliki la morogoro iitwayo Kigurunyembe secondary ambapo alikuwa combination ya HGK alihitimu masomo ya advance mwaka 2016 na akafanikiwa kupata daraja la pili katika matokeo yake na kuchaguliwa katika ndaki ya mtakatifu Augustino iliopo Mwanza yaani St,Augustine university of tanzania ambapo kutokana na kushindwa kumudu gharama za chuo aliamua kusitisha masomo yake na kurudi mtaani kutafuta maisha baada ya mtihani wake wa semester ya kwanza kumalizika