Jump to content

User:Only1dgreen

From Wikipedia, the free encyclopedia
Michael Magow

Michael Magow ni mwanamuziki wa kiume wa Tanzania anayefanya muziki wa Hip hop na Bongo Flava.[1]

Msanii huyu ambae pia aliweza kushinda na kutajwa kama mshindi kwenye mashindano ya emPawa Africa yaliyoandaliwa na kusimamiwa na Mr Eazi, ana uwezo mkubwa sana wa kutengeneza na kubuni nyimbo zake (composer) kuanzia utunzi, uandishi, mpangilio wa sauti na maneno hata mpangilio wa Ala za muziki[2]

Alianza safari ya muziki rasmi mnamo mwaka 2016 alipokutana na producer Brakxx na kuachia ep yake ya kwanza iliyoitwa Nipo session, Michael hakuishia hapo aliendelea kutoa album kama FLVA DROP$ ya mwaka 2017, Bongo Klout akiwa na Ski sptmbr mwaka 2018, Pia 2019 aliachia High Times in Dar.[3]

Elimu

[edit]

Michael alimaliza elimu yake ya sekondari katika shule ya Green Acres, baadaye akajiunga na Chuo cha biashara na teknolojia ya habari, Learnit.

Nyimbo

[edit]
  1. Scene
  2. Tena
  3. Out Here
  4. Kubababae
  5. Nipo High

Viungo vya Nje

[edit]

Marejeo

[edit]