Jump to content

User:RAJABU.MDOE

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rajabu yahaya mdoe,amezaliwa tarehe 26/5/1998 mkoani Arusha nje kidogo ya jiji katika kijiji cha nduruma. Alianza elimu yake ya shule ya msingi katika kijiji cha nduruma katika shule ya msingi ya mzimuni mwaka 2004 na kuhitimu mwaka 2010 na kufanikiwa kuendelea na shule ya upili ambapo alianza mwaka 2011 na kuhitimu mwaka 2014,Alifanikiwa kufaulu na kuendelea na kidato cha tano na sita ambapo alisoma katika shule ya enaboishu iliyopo sanawari-Arusha alihitimu mwaka 2017 na kufanikiwa kufaulu na kujiunga na chuo kikuu ambapo alikuwa akisomea shahada ya sanaa na ualimu katika chuo cha waislamu cha morogoro.